Simba S. C yaachana rasmi na Kocha Juma Mgunda

Simba S. C yaachana rasmi na Kocha Juma Mgunda

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
1725820860416.jpg
Klabu ya Simba imeachana na Kocha Juma Ramadhani Mgunda ambaye alikuwa akiinoa Timu ya Wanawake ya Simba Queens huku mara kadhaa akipewa jukumu la kufundisha timu ya wakubwa ya klabu hiyo.

Soma Pia: Juma Mgunda ameridhika kuwasaidia kufundisha Simba SC na kusahau kuwa ana 'profile' kubwa katika Ligi ya Tanzania
 
Kwa walioangalia performance ya Simba kule Ethiopia huku juma na benchi lake wakilia na baridi watakubali ilikuwa lazima afukuzwe
Mgunda uwezo wake ni kuikazia yanga TU kwenye Ile final kule Arusha nje ya hapo hakuna kocha pale
 
Wanadanganyika na matokeo ya mechi za mapema hizi za Fadlu? Haya ngoja tuone Mgunda kama hajakumbukwa mwishoni mwa msimu kuokoa jahazi kama kawaida yao.
 
Baada ya kuvutana kwa hapa na pale hatimaye aliyekuwa kocha wa Simba ameamua kuachana na club hiyo. Juma mgunda aliyekuwa kocha wa timu hiyo inayoshiriki ligi ya wanawake nchini, amefikia uamuzi huo ili kwenda kupata changamoto sehemu nyingine

GW-bvNiW8AApYsD.jpeg
 
View attachment 3090695
Kupata changamoto au fursa sehemu nyingine??
 
Back
Top Bottom