Simba S. C yaachana rasmi na Kocha Juma Mgunda

Simba S. C yaachana rasmi na Kocha Juma Mgunda

Wale waliokuwa wanasema Simba inambania Mgunda tayari washaachana nae.
Sasa ndio tutajua nani alikuwa anambania mwenzake.
 
Wewe Mgunda subiria tu zibakie mechi sita ili ligi itamatike! Watakurudisha tu ili uende kuokoa jahazi. Wewe na mwenzako Matola, bado mpo mpo sana tu.
 
Back
Top Bottom