Kupata changamoto au fursa sehemu nyingine??Baada ya kuvutana kwa hapa na pale hatimaye aliyekuwa kocha wa Simba ameamua kuachana na club hiyo. Juma mgunda aliyekuwa kocha wa timu hiyo inayoshiriki ligi ya wanawake nchini, amefikia uamuzi huo ili kwenda kupata changamoto sehemu nyingine
View attachment 3090695
Makocha wa kibongo hakuna kituWanadanganyika na matokeo ya mechi za mapema hizi za Fadlu? Haya ngoja tuone Mgunda kama hajakumbukwa mwishoni mwa msimu kuokoa jahazi kama kawaida yao.
Huyo ataenda NamungoCoastal Union loading..
NamungoCoastal Union loading..