Teh he he he he ....mkuu hilo halina ubishi Simba SC ( champion of AFRICA 2018)Je unavifahamu vyema vigogo hivi vya soka barani, ulaya?
1. Real Madrid
2. Atletico Madrid
3. Tottenham
4. Villareal
5. Nice
6. Bayern Munich
Kama jibu lako ni ndio.. jua kwa sasa vinashare jambo moja na timu bora kabisa katika ukanda wa CECAFA, Simba S.C [Taifa Kubwa].. Jambo hilo ni lipi??
Mpaka sasa, katika msimu huu wa 2016/2017... timu hizo zimecheza mechi zake za ligi bila kupoteza. Yaani ni kama Mnyama vile.. Zinagawa vipigo tu, mfululizo mfululizo na visare vya hapa na pale.
Kila la heri Simba S.C katika safari yako ya kuivunja rekodi uliyoiweka mwenyewe ya kumaliza ligi bila kufungwa.
Kwa vitoto hivyo... Ubingwa tu VPL hawawezi... Tukutane hapa May 2017Teh he he he he ....mkuu hilo halina ubishi Simba SC ( champion of AFRICA 2018)
Nahii list itaendelea kuisha taratibu mpaka kufika NovemberUPDATES:
Nasikitika huku nikiwa na majonzi tele.. Na hii ni baada ya siku ya Jana kumempoteza Atletico Madrid katika list hii ya mabingwa wasiofungika baada ya kudungwa goli 1-0 na Sevila.. Tumebaki;
1. Simba S.C
2. Real Madrid
3. Villarreal
4. Nice
5. Tottenham
6. Bayern Munich
Je unavifahamu vyema vigogo hivi vya soka barani, ulaya?
1. Real Madrid
2. Atletico Madrid
3. Tottenham
4. Villareal
5. Nice
6. Bayern Munich
Kama jibu lako ni ndio.. jua kwa sasa vinashare jambo moja na timu bora kabisa katika ukanda wa CECAFA, Simba S.C [Taifa Kubwa].. Jambo hilo ni lipi??
Mpaka sasa, katika msimu huu wa 2016/2017... timu hizo zimecheza mechi zake za ligi bila kupoteza. Yaani ni kama Mnyama vile.. Zinagawa vipigo tu, mfululizo mfululizo na visare vya hapa na pale.
Kila la heri Simba S.C katika safari yako ya kuivunja rekodi uliyoiweka mwenyewe ya kumaliza ligi bila kufungwa.
Labda ngoja tusubir make uku mikoani si mchezoHaha.. Uko sahihi kiaina.. Ila ulipokosea ni kua lazima atabaki mmoja tu.. Naye ni Simba S.C.
Kumfananisha simba na madridHaha... Ukichaa ni ni upi hapo?
labda kama mkibebwa kama kawaida yenu.Kwa vitoto hivyo... Ubingwa tu VPL hawawezi... Tukutane hapa May 2017
Kwa ilo hongereni lakini nimkoa mmoja tu ambao at least unamiundombinu mizuri.Kumbuka hata Mbeya ni mkoa pia.. Msimu huu tumeenda huko.. na tumewadungua mbeya city bila huruma.
Hapo umenena watanyamaza tu.Haha.. Uko sahihi kiaina.. Ila ulipokosea ni kua lazima atabaki mmoja tu.. Naye ni Simba S.C.