Simba S.C yala sahani moja na vigogo hawa wa Ulaya.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Je unavifahamu vyema vigogo hivi vya soka barani, ulaya?
1. Real Madrid
2. Atletico Madrid
3. Tottenham
4. Villareal
5. Nice
6. Bayern Munich

Kama jibu lako ni ndio.. jua kwa sasa vinashare jambo moja na timu bora kabisa katika ukanda wa CECAFA, Simba S.C [Taifa Kubwa].. Jambo hilo ni lipi??
Mpaka sasa, katika msimu huu wa 2016/2017... timu hizo zimecheza mechi zake za ligi bila kupoteza. Yaani ni kama Mnyama vile.. Zinagawa vipigo tu, mfululizo mfululizo na visare vya hapa na pale.

Kila la heri Simba S.C katika safari yako ya kuivunja rekodi uliyoiweka mwenyewe ya kumaliza ligi bila kufungwa.
 
Teh he he he he ....mkuu hilo halina ubishi Simba SC ( champion of AFRICA 2018)
 
UPDATES:
Nasikitika huku nikiwa na majonzi tele.. Na hii ni baada ya siku ya Jana kumempoteza Atletico Madrid katika list hii ya mabingwa wasiofungika baada ya kudungwa goli 1-0 na Sevila.. Tumebaki;
1. Simba S.C
2. Real Madrid
3. Villarreal
4. Nice
5. Tottenham

Nahii list itaendelea kuisha taratibu mpaka kufika November
 
Je unavifahamu vyema vigogo hivi vya soka barani, ulaya?
1. Real Madrid
2. Atletico Madrid
3. Tottenham
4. Villareal
5. Nice
6. Bayern Munich

Kama jibu lako ni ndio.. jua kwa sasa vinashare jambo moja na timu bora kabisa katika ukanda wa CECAFA, Simba S.C [Taifa Kubwa].. Jambo hilo ni lipi??
Mpaka sasa, katika msimu huu wa 2016/2017... timu hizo zimecheza mechi zake za ligi bila kupoteza. Yaani ni kama Mnyama vile.. Zinagawa vipigo tu, mfululizo mfululizo na visare vya hapa na pale.

Kila la heri Simba S.C katika safari yako ya kuivunja rekodi uliyoiweka mwenyewe ya kumaliza ligi bila kufungwa.

tayar mmoja kawekwa mechi chache maneno gunia
 
Kumfananisha simba na madrid
Simba S.C na Real Madrid zinafanana katika jambo hili.. Katika msimu huu.. Zote zimecheza mechi za ligi zao.. Na zote hazijafungwa.. Zinagawa dozi nzito nzito tu.. Na kuambulia visare vichache.
 
Kwa ilo hongereni lakini nimkoa mmoja tu ambao at least unamiundombinu mizuri.
Weekend ijayo tutakua Shinyanga.. Mkoa wenye miundombinu mibovu.. Nitarudi hapa hapa kukupatia matokeo ya mechi hiyo.
 
Back
Top Bottom