Simba S.C yashusha kipigo kizito tena Leo.. Wapinzani kaeni Chonjo.

sembo
Hata kwenye boxing heavy weight kujipima na light weight haileti taswira sahihi. Nadhani utakubaliana nami. Tusubiri hiyo Simba week yenu tuone kipimo halisi.
 
Sawa Mkuu.. Tarehe 08 si mbali.
 
Simba Day ni siku maalumu kwa Klabu kupiga mikwara dhidi ya timu za Ligi.... Lakini cha kushangaza huwa mnapoteaga kwenye jukwaa hili wiki 8 baada ya LigiKuu kuanza.
 
unyonge sasa basi...
 
Simba Day ni siku maalumu kwa Klabu kupiga mikwara dhidi ya timu za Ligi.... Lakini cha kushangaza huwa mnapoteaga kwenye jukwaa hili wiki 8 baada ya LigiKuu kuanza.
Mkuu msimu huu tupo pamoja mwanzo mwisho.
 
Yanga wataisoma namba
Msimu huu unyonge mwiko.. Si Yanga pekee.. Kila tutakayekutana nae iwe katika mechi za "mchangani" au za "Kimataifa" kama ya 08.08.2016 pale Taifa Stadium ajiandae kuisoma namba tu.
 
Huu moto aliouwasha Kocha Bora kabisa toka Kameruni, Joseph Omog, akisaidiwa Kocha bora kabisa kuwahi kushuhudiwa nchini Uganda, Jackson Mayanja sijui ni nani mwenye uwezo wa kuuzima. Simba S.C imeimarika sana kwa sasa.

Baada ya kugawa dozi nzito nzito kwa Polisi Moro, Moro Kids.. leo ilikua ni zamu ya timu bora kabisa kwa sasa Mkoani Morogoro, Bukinafaso kupewa stahiki yao.. na hii ni baada ya kutandikwa goli 5-0 bila hata chembe ya huruma.

Wafungaji wa magoli katika mechi ya Leo ni Mousa Ndusha, Shiza Kichuya, Said Ndemla na Ibrahimu Ajibu katupia goli 2 kambani [nasisitiza huyu jamaa ule ugonjwa wake kufunga unaendelea kua sugu kila siku zinavyosonga].

Mpaka sasa.. Simba chini ya Omog.
1. Mechi Tulizocheza - 3
2. Magoli Tuliyofunga - 15
3. Magoli Tuliyofungwa - 0
4. Aina ya Soka - Soka la Kasi, Pasi Nyingi, Ufundi Mwingi n.k

... and the cycle continues.
Hahaha ha haaa..
kweli simba imechoka ila sikujua ni kiasi hiki,

yaani mnaifunga moro kids, alafu unakuja kuanzisha thread...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu hii ilikua ni taarifa kwa Wanasimba wote Duniani juu ya maendeleo ya timu yao.
 
Huu moto aliouwasha Kocha Bora kabisa toka Kameruni, Joseph Omog, akisaidiwa Kocha bora kabisa kuwahi kushuhudiwa nchini Uganda, Jackson Mayanja sijui ni nani mwenye uwezo wa kuuzima. Simba S.C imeimarika sana kwa sasa.

Baada ya kugawa dozi nzito nzito kwa Polisi Moro, Moro Kids.. leo ilikua ni zamu ya timu bora kabisa kwa sasa Mkoani Morogoro, Bukinafaso kupewa stahiki yao.. na hii ni baada ya kutandikwa goli 5-0 bila hata chembe ya huruma.

Wafungaji wa magoli katika mechi ya Leo ni Mousa Ndusha, Shiza Kichuya, Said Ndemla na Ibrahimu Ajibu katupia goli 2 kambani [nasisitiza huyu jamaa ule ugonjwa wake kufunga unaendelea kua sugu kila siku zinavyosonga].

Mpaka sasa.. Simba chini ya Omog.
1. Mechi Tulizocheza - 3
2. Magoli Tuliyofunga - 15
3. Magoli Tuliyofungwa - 0
4. Aina ya Soka - Soka la Kasi, Pasi Nyingi, Ufundi Mwingi n.k

... and the cycle continues.
Wa mchangani katika ubora wao
 
Back
Top Bottom