Timu za daraja za chini siyo rahisi kama unavyodhani...Maujiko mengine haya, timu yenyewe ni toka matombo.
Moto huu uendelee sio uishie njiani mpaka msimu uliopita watu wakawa na fikra nyingine juu yako maana sio kwa upoteaji ule!Haha.. Mkuu hiki kiujira nachopata kinanitosha kabisa.
[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Maujiko mengine haya, timu yenyewe ni toka matombo.
unyonge sasa basi...Simba Day ni siku maalumu kwa Klabu kupiga mikwara dhidi ya timu za Ligi.... Lakini cha kushangaza huwa mnapoteaga kwenye jukwaa hili wiki 8 baada ya LigiKuu kuanza.
Mkuu kuna thread nimekuuliza kuhusu mo maana unawasiwasi sana nae...Nipe sababu kuu tatu kwanini si mtu sahihi kuwekeza Simba...Haha.. Mkuu tupo pamoja.
poa, nimekusoma Mkuu wanguMkuu nishakujibu.
Hahaha ha haaa..Huu moto aliouwasha Kocha Bora kabisa toka Kameruni, Joseph Omog, akisaidiwa Kocha bora kabisa kuwahi kushuhudiwa nchini Uganda, Jackson Mayanja sijui ni nani mwenye uwezo wa kuuzima. Simba S.C imeimarika sana kwa sasa.
Baada ya kugawa dozi nzito nzito kwa Polisi Moro, Moro Kids.. leo ilikua ni zamu ya timu bora kabisa kwa sasa Mkoani Morogoro, Bukinafaso kupewa stahiki yao.. na hii ni baada ya kutandikwa goli 5-0 bila hata chembe ya huruma.
Wafungaji wa magoli katika mechi ya Leo ni Mousa Ndusha, Shiza Kichuya, Said Ndemla na Ibrahimu Ajibu katupia goli 2 kambani [nasisitiza huyu jamaa ule ugonjwa wake kufunga unaendelea kua sugu kila siku zinavyosonga].
Mpaka sasa.. Simba chini ya Omog.
1. Mechi Tulizocheza - 3
2. Magoli Tuliyofunga - 15
3. Magoli Tuliyofungwa - 0
4. Aina ya Soka - Soka la Kasi, Pasi Nyingi, Ufundi Mwingi n.k
... and the cycle continues.
Mkuu hii ilikua ni taarifa kwa Wanasimba wote Duniani juu ya maendeleo ya timu yao.Hahaha ha haaa..
kweli simba imechoka ila sikujua ni kiasi hiki,
yaani mnaifunga moro kids, alafu unakuja kuanzisha thread...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wa mchangani katika ubora waoHuu moto aliouwasha Kocha Bora kabisa toka Kameruni, Joseph Omog, akisaidiwa Kocha bora kabisa kuwahi kushuhudiwa nchini Uganda, Jackson Mayanja sijui ni nani mwenye uwezo wa kuuzima. Simba S.C imeimarika sana kwa sasa.