Simba sajilini wachezaji acheni mambo ya ajabu ndio nini sasa kutaka kumuua kibu Denis

MUSHEKY

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
2,812
Reaction score
2,760
Kiukweli mimi ni simba ila nikiri simba awamu hii tupo hoi ibn taaban

Yaani kibu pamoja na kuvuja midamu yote ile bado kafosiwa aingie uwanjani hii ni kutokana na timu kujaa wachezaji vilaza mwanzo mwisho,

Halii hii ilipelekea kibu kushindwa kuendelea na mchezo kwa maumivu makali anayoyapata....kile kikosi kipana kimeenda wapi?

Wala tusitafune maneno. Tatizo sio kocha hakuna usajili wa maana uliofanyika pale na pia wachezaji wengi vipaji vimeshashuka tunahitaji usajili wa maana msimu huu

Hivi kweli MUGALU PRINCE KOPE MUSHIMBA ni mchezaji wa kutumainiwa dakioa 90 kweli?

Zaidi ya nusu saa anarekebisha msuko wake tu si ujinga huu?....mwingine Nyoni tumefungwa yeye anang'ang'ania kuweka vizuri heleni yake ni utu kweli huu?

Hivi onyango bado anastahili pale simba kweli? Mzamilu? Kanoute? Kagere?

Acheni ujinga mpira ni pesa, tieni pesa mkalete wachezaji wa maana si mmepata bilioni 3 nyie?
 
Kila dakika wanaumia,Kuna gap kubwa ,Kuna wazeebsana na wavulana yaani ni dhofulihali.
 
Hata ukisajili wachezaji kwa huyu coach ni kazibure.Labda mkasajili wazunngu wenzake.

Ni upumbavu sana timu haina mfumo unaoeleweka,haina first eleven,na visirani vya kizungu vinafukuza wachezaji muhimu kama Morrison na Chama
 
Kale kawimbo kanaimbaje??


HAWAAMINI MACHO YAOOOO[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


sipati picha mood aliyokuwa nayo mtoa mada
 
Hata akiletwa Ronaldo kwa huyu kocha kiwango kitashuka tu. Labda kocha naye asepeshwe.
 
Mkuu vipi huyu coach wetu ni mtu sahihi kwetu ?mbona namuona kama Hana mbinu za mpira ?
 
Hata ukisajili wachezaji kwa huyu coach ni kazibure.Labda mkasajili wazunngu wenzake.

Ni upumbavu sana timu haina mfumo unaoeleweka,haina first eleven,na visirani vya kizungu vinafukuza wachezaji muhimu kama Morrison na Chama
Huyo kocha atatoa wapi first eleven wakati banda alhamisi anaupiga mwingi ijumaa mogulu pande yani wachezaji wa simba ukiacha inonga usajili uliopita tumepigwa na kitu kizito kilichochongoka mbele
 
Mkuu vipi huyu coach wetu ni mtu sahihi kwetu ?mbona namuona kama Hana mbinu za mpira ?
Huyu kocha simtetei sana mkuu ila kama umemsikiliza mara kadhaa akihojiwa anasema kafanya kila aliloweza, ila matokeo yanakuja hivyo

Last match alisema tumetumia uwezo wetu wote ila haelewi ni kwa nini

Ukiisoma saikolojia ya macho yake wakati anaongea hayo ni kama mtu anayesema mmenijazia migalasa uwanjani, mizee, haifundishiki kazi yangu ni kuipanga uwanjani na nimeshalitekeleza hilo
 
Mbinu hazifanyi kazi kwa wachezaji vilaza. Tuingie sokoni tusajili wachezaji quality. Tuache janja janja ya kusajili wachezaji waliotoka kujifungua
Sawa sikatai ebu nisaidie hapa, ni timu gani hapa Tanzania Ina quality players wazuri zadi ya Simba na kama haipo basi shida ni Coach
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…