Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
atamuota Feisaaaaaaal!Muhiru alikuwa anapepesuka mwenyewe tu ka kuku wa kideli
Sawa wewe shabiki fenesi, umeona pasi ngapi anazopiga kanoute zinafika? Ni kweli ana intercept ila baada ya hapo? Toa takataka tia wachezajiNilipofika mahali umemtaja Kanoute Basi nikagundua wewe shabiki andazi.
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Onyango kazeeka leo alimshindwa Mayele 4 times anaanguka ovyo unasema bado yuko vizuri kivipi?Umeanza kushabikia moira jana,umekiri viwango vimeshuka,nani kavishusha kama sio kocha,onyango na kanoute bado wako vizuri
mfano wa hundi tu ila mpunga wenyewe hakutoa!
Mkuu , hakuna kocha hapo tuwe tu wakweli. Tulipigwa vibaya mno.Kwani Si Tulikubaliana Kocha Ametokea Real Madrid [emoji1787]
Alimshindwa kivipi na alimdhibiti asilete madhara,ulitaka amvunje mguu ndio uone kuwa kamdhibitiOnyango kazeeka leo alimshindwa Mayele 4 times unasema bado yuko vizuri kivipi?
Onyango kazeeeka alipewa mwili akaanguka kama gunia la mchanga Mayele huyo anaenda kufunga akaamua kumpasia Zanzibar finest, Feisaaaaaaaaalll!!Alimshindwa kivipi na alimdhibiti asilete madhara,ulitaka amvunje mguu ndio uone kuwa kamdhibiti
Hukuona mayele alivyolambiswa mchanga na yule dogo wa simba au kujitoa ufahamuOnyango kazeeeka alipewa mwili akaanguka kama gunia la mchanga Mayele huyo anaenda kufunga akaamua kumpasia Zanzibar finest, Feisaaaaaaaaalll!!
leo sikukuu ya wananchi bongo nzima!!
Mpira uliogonga mwamba sio on target, je haikuwa hatari? Sio kila unapoona no on target haimaanishi kuwa hakukuwa na shambulizi la hatari.Ndo ujue mliachiwa mchezee mpira lakini nafasi ya kulisogelea goli mlikuwa amuipati ndo maana washambuliaji wenu akuna shambulizi la maana walilofanya
Ulipogonga mwamba ikawaje? Washambuliaji wenu wale wazee wakafunga si ndio?Mpira uliogonga mwamba sio on target, je haikuwa hatari? Sio kila unapoona no on target haimaanishi kuwa hakukuwa na shambulizi la hatari.
sana Mayele kaupiga mwingi sanahereni ya demu wake ilimshinda kuvaa vizuri akahangaika mpaka refa akamvalisha vizuri!! Nyoni kaishiwa kabisa!
Leo Mayele kathibitisha ni high class player Onyango akaanguka chini jamaa anaenda kumuona Kakolanya! hakuwa na bahati tu ila kaupiga mwingi sana!
Nataka ujuwe kwamba sio mara ya kwanza kwa mchezaji wa Simba kuonyesha spirit ya kupigania timu.Sitaki kujua mambo ya zamoyoni, nataka simba ifanye usajili
yanga waliwaacha mcheze mpira wao wakapark basi, kwani staili hiyo huijui?Mpira tumecheza zaidi kipindi cha pili.
Hizo pesa mbona we huna. 😂😂😂😂😂😂Acheni ujinga mpira ni pesa, tieni pesa mkalete wachezaji wa maana si mmepata bilioni 3 nyie?