Simba sajilini wachezaji acheni mambo ya ajabu ndio nini sasa kutaka kumuua kibu Denis

Umeanza kushabikia moira jana,umekiri viwango vimeshuka,nani kavishusha kama sio kocha,onyango na kanoute bado wako vizuri
Unataka kocha aingie ndani ya mtima wa onyango akacheze yeye?
 
Umeanza kushabikia moira jana,umekiri viwango vimeshuka,nani kavishusha kama sio kocha,onyango na kanoute bado wako vizuri
Onyango kazeeka leo alimshindwa Mayele 4 times anaanguka ovyo unasema bado yuko vizuri kivipi?
 
Labda mimi naangalia kwa namna tofauti onyango bado sana aisee.
 
Alimshindwa kivipi na alimdhibiti asilete madhara,ulitaka amvunje mguu ndio uone kuwa kamdhibiti
Onyango kazeeeka alipewa mwili akaanguka kama gunia la mchanga Mayele huyo anaenda kufunga akaamua kumpasia Zanzibar finest, Feisaaaaaaaaalll!!

leo sikukuu ya wananchi bongo nzima!!
 
Onyango kazeeeka alipewa mwili akaanguka kama gunia la mchanga Mayele huyo anaenda kufunga akaamua kumpasia Zanzibar finest, Feisaaaaaaaaalll!!

leo sikukuu ya wananchi bongo nzima!!
Hukuona mayele alivyolambiswa mchanga na yule dogo wa simba au kujitoa ufahamu
 
Ndo ujue mliachiwa mchezee mpira lakini nafasi ya kulisogelea goli mlikuwa amuipati ndo maana washambuliaji wenu akuna shambulizi la maana walilofanya
Mpira uliogonga mwamba sio on target, je haikuwa hatari? Sio kila unapoona no on target haimaanishi kuwa hakukuwa na shambulizi la hatari.
 
Mpira uliogonga mwamba sio on target, je haikuwa hatari? Sio kila unapoona no on target haimaanishi kuwa hakukuwa na shambulizi la hatari.
Ulipogonga mwamba ikawaje? Washambuliaji wenu wale wazee wakafunga si ndio?
 
sana Mayele kaupiga mwingi sana
 
Sitaki kujua mambo ya zamoyoni, nataka simba ifanye usajili
Nataka ujuwe kwamba sio mara ya kwanza kwa mchezaji wa Simba kuonyesha spirit ya kupigania timu.

Simba hata Kama mbovu ,huwezi fananisha na utopolo.
 
Acheni ujinga mpira ni pesa, tieni pesa mkalete wachezaji wa maana si mmepata bilioni 3 nyie?
Hizo pesa mbona we huna. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…