Simba sasa hivi inacheza mpira makande

Simba sasa hivi inacheza mpira makande

Last emperor

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
10,351
Reaction score
9,855
Nawasalimia wana Msimbazi wenzangu!

Nimesikitishwa na mpira unaochezwa na timu yetu pendwa ya Simba (Lunyasi), timu siku hizi inacheza mpira mbaya sana, mpira makande, magoli yetu yenyewe yanapatikana kipapatupapatu kama ya utopolo. Leo nimeona takwimu eti Simba katika mechi 2 za ligi ndo tunaongoza kwa kupiga cross (cross 34!) Tangu lini Simba ikaongoza kwa kupiga cross na sio kupiga pass?

Kuna watu watakuja na utetezi kuwa timu Ina wachezaji wapya wengi, hivyo hawajaingia kwenye mfumo wetu wa Lunyasi. Hii sio kweli, maana ukiangalia kwenye timu iliyoanza (first eleven) ni wachezaji wawili tu ndo wageni ambao ni Inonga na Kanoute, lakin wengine wote ni walewale wapo zaidi ya misimu miwili. Na hata wanaosema kuondoka kwa Luis na Chama ni sababu ya timu kucheza hovyo siku hizi, nayo sio kweli, kuondoka kwa wachezaji wawili hakuwazuii watu kupiga pass na kucheza mpira uliozoeleka, maana hata hao wachezaji wawili walikuja waliikuta timu inacheza mpira biriani.

Tatizo kubwa ninaloliona ni kocha. Gomez ni kocha anaejali zaidi matokeo (results oriented) kuliko kujali namna ya hayo matokeo yanapatikanaje. Wana msimbazi tumezoea mpira biriani, Gomez alikuja akaikuta timu imetengenezwa na Uchebe na Kishingoo, na yeye akatembelea humo. Na zaidi ni Uchebe ndo aliitengeneza timu iliyocheza mpira biriani tunavyotaka.

Ombi langu kwa uongozi wanatakiwa wamuambie kocha sisi tunataka timu icheze mpira unaoeleweka, na sio mradi kupata ushindi wa style ya utopolo. Magoli ya kona na cross, yanatokana na piga nikupige. Kama Gomez hawezi kutupa mpira tunaotaka atimuliwe!
 
Nawasalimia wana Msimbazi wenzangu!

Nimesikitishwa na mpira unaochezwa na timu yetu pendwa ya Simba (Lunyasi), timu siku hizi inacheza mpira mbaya sana, mpira makande, magoli yetu yenyewe yanapatikana kipapatupapatu kama ya utopolo. Leo nimeona takwimu eti Simba katika mechi 2 za ligi ndo tunaongoza kwa kupiga cross (cross 34!) Tangu lini Simba ikaongoza kwa kupiga cross na sio kupiga pass?

Kuna watu watakuja na utetezi kuwa timu Ina wachezaji wapya wengi, hivyo hawajaingia kwenye mfumo wetu wa Lunyasi. Hii sio kweli, maana ukiangalia kwenye timu iliyoanza (first eleven) ni wachezaji wawili tu ndo wageni ambao ni Inonga na Kanoute, lakin wengine wote ni walewale wapo zaidi ya misimu miwili. Na hata wanaosema kuondoka kwa Luis na Chama ni sababu ya timu kucheza hovyo siku hizi, nayo sio kweli, kuondoka kwa wachezaji wawili hakuwazuii watu kupiga pass na kucheza mpira uliozoeleka, maana hata hao wachezaji wawili walikuja waliikuta timu inacheza mpira biriani.

Tatizo kubwa ninaloliona ni kocha. Gomez ni kocha anaejali zaidi matokeo (results oriented) kuliko kujali namna ya hayo matokeo yanapatikanaje. Wana msimbazi tumezoea mpira biriani, Gomez alikuja akaikuta timu imetengenezwa na Uchebe na Kishingoo, na yeye akatembelea humo. Na zaidi ni Uchebe ndo aliitengeneza timu iliyocheza mpira biriani tunavyotaka.

Ombi langu kwa uongozi wanatakiwa wamuambie kocha sisi tunataka timu icheze mpira unaoeleweka, na sio mradi kupata ushindi wa style ya utopolo. Magoli ya kona na cross ya piga nikupige. Kama Gomez hawezi kutupa mpira tunaotaka atimuliwe!

Kocha lazima ajali matokeo, na matokeo mazuri ni mandalizi n uhodari wa team.

Ukitaka kujua uwezo wa Simba na upate entertainment wacheze na azam.

Azam wana mchezo wa kitaalam ambao unawapa Simba fursa ya kuonyesha uwezo wao.
 
Sio siku hizi...huyu kocha hana uwezo wa kufundisha mpira biriani.
 
Kwani mkuu kipi Bora Kati ya Timu icheze vizuri na isipate matokeo chanya VS Timu icheze hovyo ila ipate matokeo chanya,hakika hata Mungu tunamchanganya sana
Tunataka vyote. Mbona zamani tulikuwa tunacheza na tunapata matokeo? Tunataka vyote. Msimu wa 2017/2018 tulichukua ubingwa baada ya kuletwa yule kocha aliyetupa ubingwa kwa kandarasi ya miezi 6 Pierre Lechantre, lakin hakuongezwa mkataba kwasababu alikuwa anatupa matokeo lakin mpira mbovu. Ndo akaja Uchebe akatengeneza hii timu, ikawa inacheza mpira mzuri na ubingwa tunachukua. Sasa huyu Gomez anaturudisha kwenye mpira makande. Hatukubali
 
Pirre lechantre alikuwa anacheza mpira mbovu?
We una matatizo eti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunataka vyote. Mbona zamani tulikuwa tunacheza na tunapata matokeo? Tunataka vyote. Msimu wa 2017/2018 tulichukua ubingwa baada ya kuletwa yule kocha aliyetupa ubingwa kwa kandarasi ya miezi 6 Pierre Lechantre, lakin hakuongezwa mkataba kwasababu alikuwa anatupa matokeo lakin mpira mbovu. Ndo akaja Uchebe akatengeneza hii timu, ikawa inacheza mpira mzuri na ubingwa tunachukua. Sasa huyu Gomez anaturudisha kwenye mpira makande. Hatukubali
Hahaahah!
Hamkubali na nan??[emoji12][emoji849]

Ila unachosema Ni kweli, Simba pira biliani limepotea kabisa, kwenye eneo la kiungo ndo kabisaaah liko hovyoo kwel kwel!

Anyway tunashukur, Cha msingi Ni positive results Kuna haja ya kuwapa credit kwa matokeo hayo, Kama unafikir natania waulize utto jazz wako wp saa hz na kikosi Cha extramauno!
 
Nimesikitishwa na mpira unaochezwa na timu yetu pendwa ya Simba (Lunyasi), timu siku hizi inacheza mpira mbaya sana, mpira makande, magoli yetu yenyewe yanapatikana kipapatupapatu kama ya utopolo.
Hatua za mtoano zina presha zake, ni tofauti na hatua ya ligi ndefu au makundi ambapo unakuwa na muda wa kujaribu hivi na vile kwa kusahihisha makosa na kuendelea na mazuri. Katika mtoano, ukikosea tu ukakosa goli ugenini au ukaruhusu goli nyumbani, kuna hatari hata ya kukosa fursa ya kuja kuonyesha biriani lako kwenye makundi. Mfano mwepesi ni jinsi tulivyoshindwa kupata goli la ugenini katika mechi za mtoano za UD Songo na ile ya Kaizer Chiefs. Mechi hizo mbili kwa miaka miwili tofauti, kama tungepata goli moja ugenini basi tungesonga hatua inayofuata
 
Tunataka vyote. Mbona zamani tulikuwa tunacheza na tunapata matokeo? Tunataka vyote. Msimu wa 2017/2018 tulichukua ubingwa baada ya kuletwa yule kocha aliyetupa ubingwa kwa kandarasi ya miezi 6 Pierre Lechantre, lakin hakuongezwa mkataba kwasababu alikuwa anatupa matokeo lakin mpira mbovu. Ndo akaja Uchebe akatengeneza hii timu, ikawa inacheza mpira mzuri na ubingwa tunachukua. Sasa huyu Gomez anaturudisha kwenye mpira makande. Hatukubali
Andaa timu yako tafuta kocha wako halafu baada ya miezi sita njoo ufufue huu uzi wako
 
Back
Top Bottom