Labda mchanganye Zege na manavyo timuana, Yanga inaweza ikajikuta inacheza na mashabiki manake kila mkifungwa mnaamini mna hujumiwa na wachezaji pamoja na viongozi wenu.Japo kadi ni za halali ila kuna shida mahali.....
Hadi gemu ya Uto tutakua tumeshachanganya...
Kuona kama nyau atapata chochoteDakika 6 zimeongezwa