Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Kocha Analaumiwa Hii Mechi, kuna wachezaji walionesha kuwa Wapuuzi tokea kipindi cha Kwanza Aliwaacha.
 
Kocha Mpya Simba Anakuja Lini? Timu inahitaji Maombi, Sala, Dua, Kuwa Sa Kisaikolojia
 
Coastal Union haijawahi kupata ushindi mbele ya Simba kwenye ligi kuu kwa misimu mitatu mfululizo iliyopita tangu msimu wa 2018/19. Katika mechi sita walizokutana, Simba imeshinda mechi tano na kutoka suluhu mechi tatu, Jumla Ya Magoli 21 Wagosi wa Kaya Wafungwa na simba katika Michezo hii 6 huku Simba Wakiruhusu magoli 2 katika michezo 6. Timu hizi hazijawahi kupata sare ya mabao. Leo wanakutana kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dares Salaam. Je, Coastal watafuta uteja?

Ni leo saa 1:00 usiku

======

Mchezo umemalizika uwanja wa Benjamin Mkapa kwa matokeo yasiyo na Magoli. Kila upande umelamba kadi nyekundu Coastal wakitangulia na baadae mchezaji wa Simba

FT: Simba SC 0-0 Coastal Union
Taarifa mubashara itoe na hitimisho hata pale tukifungwa, kama ilivyotolewa kwa sare ya Leo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wataniiiii, vimilieni tu.
 
Back
Top Bottom