Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Leo ni Mkubwa na Mwanae.

Sijasikia ahadi za fedha zikitolewa kwa Coast toka kwa Viongozi wenye mahaba na Yanga.

Sako ashindwe mwenyewe tu kupiga goli 3 ili aondoke na mpira wake.
Waweke ahadi wakati wanajua watakuwa wanajisumbua tu. Mtoto ana mapenzi ya dhati kwa baba yake
 
Leo ni Mkubwa na Mwanae.

Sijasikia ahadi za fedha zikitolewa kwa Coast toka kwa Viongozi wenye mahaba na Yanga.

Sako ashindwe mwenyewe tu kupiga goli 3 ili aondoke na mpira wake.
Kwa simba ya sasa hivi hata icheze simba A na B kupata matokeo ni ngumu yupo mugalu pale hata abaki mwenyewe anakosa
 
Wajumbe, Yeyote Anaye Tumia King’amuzi Cha Azam, Anisaidie Basi Account Number Yake Niangalie mpira [emoji28][emoji28]
 
.
IMG_20211031_180625_000.JPG
 
Back
Top Bottom