kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Sasa tuelewe lipi? Wengine humu wanasema anaupiga.Moukoro hastahili kuwepo Simba ,jamaa ni Kama Tuisila tu
Wakaze tusije kufungwa hizi dakika.Mnyama anavuka
Hakuna kitu, kama na mlandege anacheza hivi, akicheza na prison atalazwa.Sasa tuelewe lipi? Wengine humu wanasema anaupiga.
mkuu mbona yuko vizuri anapiga pasi na zinafikaUnasema? Siangalii hui mechi leo, anaupiga?
Hata huyu Udoh bado sijaona shughuli anayofanya. Labda tuone mechi zijazoMechi moja haitoshi kumpima mchezaji