Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Moira ni mipango siyo kukurupuka tu na wachezaji wa kizanzibari ambao bei zao ni kama za kuku wakatuvunjia wachezaji wetu wenye thamani kubwa.

Nitajie mchezaji gani hapo Zanzibar Mwenye thamani kubwa!?
Simba hawajajifunza kwa tukio la nyoni kuumizwa mapinduzi wakati tunashiriki klabu bingwa, wale mlandege walipania kumvunja sakho na refa alikuwa anawachekea. Kombe lenyewe halina thamani zaidi ya kunufaisha waandaaji
 
Kama kutumia hayo maneno mwiko, kabwili fc, mpalange fc, tigo fc n.k inawasaidia kupunguza masononeko mliyonayo basi endeleeni, ila mnaonesha dalili zote za watu waliyokata tamaa na timu yao ndio maana mmetafuta njia mbadala ya kupata comfort
Hapana mkuu, mimi sijawahi tulia neno polite kati ya uliyotaja hapo juu isipokuwa neno MWIKO tu.

Kauli mbiu yenu ni mwiko nyuma popote pale mnapokuwa, hivyo sidhani kama huwa nakosea.
 
Hapana mkuu, mimi sijawahi tulia neno polite kati ya uliyotaja hapo juu isipokuwa neno MWIKO tu.

Kauli mbiu yenu ni mwiko nyuma popote pale mnapokuwa, hivyo sidhani kama huwa nakosea.
Kama inakupa unafuu it's fine, mi sina neno mkuu. Nimetoa maoni tu
 
Mwambie huyo kibogoyo. Jamaa ni bonge la ndezi. Simba ni timu ya wasomi. Yanga ni timu wachawi na akina Mzee mpili.
Hivi Mangungu ana elimu gani? Dr Mshindo Msolwa ana elimu gani? Najua shabiki asiejua atazungumzia upande wa Mo ambao yeye haumuhusu kutokana kutotambua yeye yupo upande gani Kwenye simba.
 
Ushabiki pembeni. Zanzibar wanacheza soka haswa. Yanga alikamatwa kwenye kiungo na jamaa wakawa wanafika hadi golini sema bahati haikua kwao.
Beki za Yanga dskka za mwisho zilifanya ujinga kosa likianzia kiungo.

Simba walizidiwa kila eneo. Mkude na Mzamiru walifichwa hawakufurukuta, fnks zote zikawa hazipandi. Inonga akawa analinda ru hasogei. Morrison akapote kabisa kabisa na laiti game ingeendelea angekula nyekundu. Sakho akawa kila akipata mpira akimpita wa kwanza wa pili anamuweka chini.

Ushauri.

Simba ili ifanye vzr kimataifa inawabidi wasajili striker wazuri na mlandege wametuonesha madhaifu ya timu ya simba.

Pia timu zingine za NBC League kama zinataka ubingwa kuondoa ufalme wa simba na Yanga zinapaswa ziangalie game ya simba na mlandege kwa umakini sana. Wajifunze jinsi ya kufanya markingna bila kua na wasiwasi wwte wa kufungwa.

All in all mlandege na KMKm salute kwenu. Special appreciation kwa mlandege ;mnajua kukaba acha kabisa.
 
Rudia tena[emoji23]
watasema nini tena kelele kibao kabla ya mafanikio.
Yanga ukiangalia magoli yao mengi hata kwenye ligi sio ya kimfumo ,ni papatu papatu mara goal. Huwezi kufananisha na timu inayetegeneza magoli ya kimfumo hata wasipofunga unaona ni error za kurekebisha siyo yale papatu papatu mara shuti
 
Back
Top Bottom