Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Sasa unajivunia kutolewa na river. Mzee wa Nyuma mwiko.Rivers ilikuwa timu ya Nne kwenye msimamo na tena point difference ya 3 na anayeongoza ligi
Kwahyo unawafananisha Wazanzibar na Nigeria kwenye mpira mkuu
Shame on you
Na hiki kikosi chako cha leo ungeweka wachezaji wa Sub ulikuwa unafungwa goli za kutosha
Timu imejaa wavunja kuni watupu
😂😂😂 ebo. Una umri wa miaka mingapi!?