Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Ina kuuma wewe nini?
Swali hilo anaulizwa mtu ambaye kachukua ubingwa mara 4, kaenda robo fainali club bingwa mara 2, na saizi yupo confideration huko africa

Sasa hayo yote sio tatizo, tatizo ni pale ambapo muulizaji hajawahi kuwa na record hiyo hapo tangu club yake iumbwe
 
Kipimo cha fowadi butu ila beki yenye unafuu ndo leo.
Mi ni mshabiki wa simba damu lakini ukweli usemwe timu yetu imeshuka kiwango wachezaji wanarukaruka yaani tumecheza na timu ya 8 zanzibar kwa wala urojo lakini tumeshindwa kufunga goli hata la kuotea ukweli usemwe timu letu bovu
 
Swali hilo anaulizwa mtu ambaye kachukua ubingwa mara 4, kaenda robo fainali club bingwa mara 2, na saizi yupo confideration huko africa

Sasa hayo yote sio tatizo, tatizo ni pale ambapo muulizaji hajawahi kuwa na record hiyo hapo tangu club yake iumbwe
Duh...
Yeye si Na bingawa wa Kihistoria au sio.
 
Mi ni mshabiki wa simba damu lakini ukweli usemwe timu yetu imeshuka kiwango wachezaji wanarukaruka yaani tumecheza na timu ya 8 zanzibar kwa wala urojo lakini tumeshindwa kufunga goli hata la kuotea ukweli usemwe timu letu bovu
Ulitaka wachezaji wetu wavunjwe miguu upate furaha. Watu wanaruka mguu was shingo kidevu refa anapeta tu.
Mchezaji mmoja wa simba thamani yake ni zaidi ya ligi yote ya Zanzibar.
 
Hata azam ni bingwa wa kihistoria, wangeamua kuifanya hoja hiyo kuwa agenda ila walishajua hiyo ni kujipa matumaini ya kinafki
 
Koloo mlandege anashika namba 8 wakati kmkm namba 1 anaongoza ligi
Kuongoza mwanzoni mwa LIGI si kigezo cha team kuwa bora, ni kama vile wazee wa mwiko nyuma ambavyo kuwa wanaongoza ligi.
 
Ulitaka wachezaji wetu wavunjwe miguu upate furaha. Watu wanaruka mguu was shingo kidevu refa anapeta tu.
Mchezaji mmoja wa simba thamani yake ni zaidi ya ligi yote ya Zanzibar.
Japo mi ni simba lakini ukweli usemwe usajiri wetu haueleweki...kocha nae kama kichaa walisema wanatuletea chama kumbe ni shibubu
 
Mi ni mshabiki wa simba damu lakini ukweli usemwe timu yetu imeshuka kiwango wachezaji wanarukaruka yaani tumecheza na timu ya 8 zanzibar kwa wala urojo lakini tumeshindwa kufunga goli hata la kuotea ukweli usemwe timu letu bovu
Wala urojo?

Huoni kwamba hiyo ni kebehi kwa feisal?
 
Mpira umeanza kuujua juzi eh. Uto alitolewa na rivers iliyokuwa nafasi ya saba hukoo
Mkuu wewe mpira ndio ujui kwa mfano wako ulioleta hapa unataka kulinganisha nafasi ya saba ya ligi Nigeria vs ligi ya Zanzibar. Nafasi inategemea na ubora wa ligi husika. Zanzibar ni ligi dhaifu hivyo kuna timu dhaifu lakini KMKM ndiye mwenye ahueni kuliko timu zinginezo zote
 
Ni tofauti kwa Yanga, KMKM kachukua ubingwa wa ligi ya Zanzibar msimu uliopita na hata sasa kwenye msimamo ndiye anayeongoza katika msimamo wa ligi ya Zanzibar
Na nyinyi mmechukua nini mpaka sasa tofauti na mwiko mlionao miaka nenda rudi?
 
Japo mi ni simba lakini ukweli usemwe usajiri wetu haueleweki...kocha nae kama kichaa walisema wanatuletea chama kumbe ni shibubu
Kaze kapewa fursa ya kusimama kama kocha mkuu akajisahau eti akawa anam lecture hadi refa, refa akamchapa kafi ya njano

Hapo ndo nilippona sisi yanga hatuna viongozi wenye ethics na kazi au wenye kuheshimu mipaka
 
Gooaaal Kibu denis straika wa simba raia wa Ufaransa nchi yenye vijana wenye vipaji anawapa goli la kuongoza Naam simba 1 mlambege 0.
 
Japo mi ni simba lakini ukweli usemwe usajiri wetu haueleweki...kocha nae kama kichaa walisema wanatuletea chama kumbe ni shibubu
Nani alisema anawaletea chama!? Wewe unajulikana ni mtoto wa mwiko nyuma usituchoshe wapenzi wa mpira. Mzee wa mwiko nyuma 😂😂🤣🤣😅😅😅
 
Back
Top Bottom