Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Tusoende mbali wakati mifano halisi ipo

Nyinyi mko nafasi ya ngapi huku bara?

Mwaka jana msimu kama huu mlikuwa mnaongoza ligi hivi hivi, ubingwa mlichukua?
Kwanini uwe msimu wa mwaka juzi na mwaka jana pekee.

Mbona msimu wa 2015/16 na 14/15 pia tulianza hivi hivi na tukachukua.
 
We Neng'eneka tu....! Huu Mwaka hata Hili La Mapinduzi Huchukui......!
Kanoute na Sakho Wanausongo nalo...!
Nimechukua ngao mbele ya huyo Kanoute na nitachukua hili mbele ya huyo Sakho, endeleeni kulialia na wimbo wenu wa GSM VIPORO FC.
 
Hatujawaii kuchukua tangu ligi ianzishwe. Simba ni ubingwa wa kihistoria
Tusoende mbali wakati mifano halisi ipo

Nyinyi mko nafasi ya ngapi huku bara?

Mwaka jana msimu kama huu mlikuwa mnaongoza ligi hivi hivi, ubingwa mlichukua?
 
Miaka miwili hii Simba ni demu kwa Yanga
Ule mkuyati uliopakiwa na kupigwa bao 4 unauzungumziaje?

Yani simba inauwezo wakuifunga yanga mechi moja kwa magoli mengi ambapo yanga kuja kusawazisha ni miaka
 
Tusoende mbali wakati mifano halisi ipo

Nyinyi mko nafasi ya ngapi huku bara?

Mwaka jana msimu kama huu mlikuwa mnaongoza ligi hivi hivi, ubingwa mlichukua?
Makolo mnawaza vitu vilivyopita, ndio maana kila siku mnamtaja taja chama kama mmechanganyikiwa hivi ngoja mpokee dozi kwa namungo akili iwakae sawa
 
Mara hii mmesahau historia zenu
 
Makolo mnawaza vitu vilivyopita, ndio maana kila siku mnamtaja taja chama kama mmechanganyikiwa hivi ngoja mpokee dozi kwa namungo akili iwakae sawa
Kama kuwaza vitu vilivyopita ni mbaya, basi leo hii msingekuwa mnajiita mabingwa wakihistoria
 
Ule mkuyati uliopakiwa na kupigwa bao 4 unauzungumziaje?

Yani simba inauwezo wakuifunga yanga mechi moja kwa magoli mengi ambapo yanga kuja kusawazisha ni miaka
Mume wenu mayele anakuja kesho endeleeni kumtunzia bikra hiyo
 
Kipimo cha fowadi butu ila beki yenye unafuu ndo leo.
 
Hatujawaii kuchukua tangu ligi ianzishwe. Simba ni ubingwa wa kihistoria
Hata azam nao ni mabingwa wa kihistoria ila huwakuti wakifanya hiyo dhana kama ajenda au kauli mbiu ya club
 
Timu ipo nafasi ya 10 huko na umetia full mkoko ila ngoma ngumu
 
Back
Top Bottom