Myebusi Mweusi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2022
- 671
- 1,543
Ngapi ngapi huko?Patashika ya kusaka alama tatu katika NBC Premier League kuendelea leo, Simba Sc Wakiwaalika Mbeya kwanza
Je, leo nani kuondoka na alama tatu na nani kudondosha?
Tuwe hapa Pamoja
NakaziaSimba timu tupe raha leo...
#NguvuMoja
Simba timu kubwa wote wanajua hilo, baba wa mpira Tz hata CAF na FIFA wanatambua pia.Hivi kwanini wanapaki bus kwa Simba?
Mkude alimaindi kwa kujifanya ameumiaInonga ameota mapembe anataka awazingue hadi waandamizi (Mkude).
Tutaona baadaeSimba timu kubwa wote wanajua hilo, baba wa mpira Tz hata CAF na FIFA wanatambua pia.
Ukicheza na Simba ukifunguka unajitafutia matatizo tuSimba timu kubwa wote wanajua hilo, baba wa mpira Tz hata CAF na FIFA wanatambua pia.
Mi hawa hata ikitokea wanacheza na jiwe nitashangilia jiwe tu.Kila La Kheri Wamatopeni Ili Mlete Ushindani Kwenye Msimamo Wa Ligi.