joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Jamaa mzuri sana.Sacko anakosa partnership
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa mzuri sana.Sacko anakosa partnership
Ni kosa kisheria za soka amaMbeya kwanza wote wamerudi nyuma kulinda
We acha tu yaani hapa siamini ninachokionaHizi kosa kosa hizi tutazikumbuka
Huna timu, Hadi tajiri kaaamua ku unfollow hao wasakata dansi wewe ni nani kulia lia hapa jiondoe mkuu usije pata vidonda vya tumboMipira haiendi golini, walah tumetengenezwa
Hadi sasa naamini wewe ndo unaongoza kwA timu pinzani kupewa red card na penati kila mkikutanaOk nimekuelewa
ila hauko sahihi
Ndo uwezo ulipoishia.We acha tu yaani hapa siamini ninachokiona
[emoji1][emoji1][emoji1]Ni kosa kisheria za soka ama
Mbona simba wote wanaenda shambulia husemi
Alafu uwezo wenyewe hawana yaani ndo shida iko hapoYaani wachezaji wa Simba kila mmoja anataka aonyeshe uwezo wake binafsi🚮🚮
Unamfukuza vipi mbeba hirizi wa timuSumba hawawezi kujikomboa bila kumfukuza Matola
Hili swala sio la kupuuzaSumba hawawezi kujikomboa bila kumfukuza Matola