Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

Kweli uvumilivu unahitajika, hii hali tunayoipitia Simba kwa sasa waliyoizoea ni utopolo peke yao, wamekosa ubingwa miaka mingi mpaka wamekuwa sugu
We ubingwa ulikuwa wa michongo lini umewahi sikia timu Ina viporo 10+

Ulitengenezewa mazingira sasa ni ngoma draw ona unavyo tolewa jasho na vitimu vya kipumbavu
 
Ni kosa kisheria za soka ama

Mbona simba wote wanaenda shambulia husemi
Mi sijasema kua ni kosa, najaribu kuelezea situation ya uwanjani watu ambao wako mbali na screen wajue
 
Utopolo wanajiangaisha tu kunyanyua nyanyua mikono juu
 
Hii mechi imetoa sura halisi ya technical bench ya simba..
 
Mi sijasema kua ni kosa, najaribu kuelezea situation ya uwanjani watu ambao wako mbali na screen wajue
Sawa eleza pia simba wanaenda mbele wote kitu kinacho wafanya mbeya kwanza kurudi nyuma na wenyewe
 
Back
Top Bottom