Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Mugalu tulipigwa tangu mwanzoKipindi cha pili Bocco apumzike aingie Chama au Mugalu kwajili ya mipira mirefu
Mrefu kwenye mipira ya juu (Plan B) atatufaaMugalu tulipigwa tangu mwanzo
Hafai kua hata benchi
Mnaambulia maumivu na Leo pia⛹️.Simba timu tupe raha leo...
#NguvuMoja
Hawa wazito achana na wale mabishoo wa darTulimfunga mtu goal sita bila sembesu huyu wa leo.
Wazee Wa False Nine & CHAUMA namuona yupo nje.
Halafu Utopolo waje walalamikeWanavyopaki bus hivi watakuja kusababisha penati wanakaribisha sana mashambulizi
Jiandae kupoteza kilo Leo🤔.Doh kikosi kinanipa mashaka,but kwa vyovyote nasimama na chama langu Simba nguvu moja...
Bocco kapiga vizuri sema vipimo tuAiseeee nilijua goli, tumekosaje hapa??
Nilisema mchezo wa leo bocco lazima awe boraBocco alimanusura atutangulize
Mugalu tulipigwa tangu mwanzo
Hafai kua hata benchi