Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

Nadhani tunahitaji wachezaji wawili au watatu wenye mibio Kama Walcott.
Hawa tulionao akili inataka mwili unakataa kwa huu mfumo wa Hawa madogo kupaki basi tunahitaji winga na mshambuliaji wawe wenye mbio.
 
Ni tukubali tu Pablo sio mshindani,
We ndo huelewi hata kinqchoendelea

pablo yuko kutumikia adhabu na hii ni mechi yake ya pili saizi hajatia mkono na hata bench hayupo anakaa kwa mashabiki

Mshakalili kila timu ikipata matokeo mabaya lawama zinaenda kwa pablo hiyo yote kwa ajili ya ku criticize CV yake, sasa hizo lawama kama wakumpa, mpe matola
 
Back
Top Bottom