achaneni na roho za kishirikina.Mumtafute na Manara mkuu pia
achaneni na roho za kishirikina.
kweli kocha mpya aletwe ,mechi zote hizo matokeo yamekuwa magumuHii timu tutafute kocha mkuu mwingine haraka
Bado 5
Unaota ukiwa wapi?GOAAAAL
Oyaaa mwamba eeeh tuache... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Manara yupo uchi muda huu anafukiza ubani unategemeana nn
Sawa time keeperBado dakika 4