Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Duncan ni mzuri sana inabidi achezeshwe
Timu ya taifa ya Malawi Duncan huwa anacheza kama huwa anacheza kwenye midfield 3 upande wa kushoto.

Sijajua kwa nini sisi tuna prefer kumtumia kama winger ya kulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…