Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Mimi kama mshabiki wa simba natoa rai mapema kwa uongozi wa simba ipige marufuku usambazaji wa clip ya video inayoonesha goli la jana lililofungwa na kagere

Kwasababu kuna hatihati ya kumpoteza mchezaji huyu, nimesikia mauricio pochetino amesikia hizi taarifa na anatumia nguvu kubwa kutafuta hiyo clip na amedai yuko tayari kumsajili mchezaji huyo ambaye inadaiwa ataziba pengo la mbape ambaye anataraijia kuachana na timu hiyo
 
Lile Goli Unaambiwa Liliwahi Kufungwa Mwaka Alfu moja mia tisa tisini na tisa na Tedy Sherringan akiwa Manchester United Wakati huo Kocha ni Babu Ferguson Likaiwezesha Man U kutinga Makundi CL ulaya hatimaye Kuwa Bingwa Wa Ulaya.
Tuendelee Kulijadili lile Bao La MK 14.
 
Huwaoni humu leo hadi wiki mbili zijazo wako avic town
Wanakuambatiana

C5D4B571-A7DA-4E29-9406-75147154F5BD.jpeg
 
Uyo babu yenu haendi kokote mpo nae
Mimi kama mshabiki wa simba natoa rai mapema kwa uongozi wa simba ipige marufuku usambazaji wa clip ya video inayoonesha goli la jana lililofungwa na kagere

Kwasababu kuna hatihati ya kumpoteza mchezaji huyu, nimesikia mauricio pochetino amesikia hizi taarifa na anatumia nguvu kubwa kutafuta hiyo clip na amedai yuko tayari kumsajili mchezaji huyo ambaye inadaiwa ataziba pengo la mbape ambaye anataraijia kuachana na timu hiyo
 
Wakubwa wenzangu wa Simba vita kubwa sana hii msimu huu na ukizingatia ma hela ya Bakharesa na Sport Pesa nasema hivi hata kama goli la mbeleko goli la kadi ama goli la niniii

Hapa Sifa point 3

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Matola sulemani aamshe pale wale walaji walaji wote wanatakiwa waondoke tuhame kwenye utamaduni wa wachezaji kuhonga makocha Ili wapangwe ningefurahi kuona hakuna mtu mweusi ktk bench la ufundi Simba
 
Back
Top Bottom