Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
uzuri tu ukuta mzuri wa ulinziKweli kabisa wachezaji wetu wa pale Msimbazi wanacheza kutokana na vipaji vyao pamoja na Media.
Na ndomaana tuna tafuta kocha Officially.
Naamini bado tunayo nafasi ndugu.
We skizia tuu wale vyura watafarakana tuu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app