Afu amna kitu kinaudhi kama kukutana na sampuli hii ya mashabiki
Hivi hao kina chama, ni mara ngapi humu wakiwa wanacheza tumekua tukiwaponda kuwa wameonesha kiwango kibovu?
Juzi tumefungwa na yanga pale goli moja, bado mandezi yameendwlea kusema tumefungwa kwasababu ya kukosa hao wachezaji kwenye hiyo mechi
Wamesahau kua mechi kama hiyo tulicheza na tukafungwa tukiwa na hao hao wachezaji
Tumefungwa na kaizer chiefs goli nne kwao, tukiwa na chama na mikson, unaweza kukumbuka kipindi hicho lawama zilienda kwa nani?
Hizi habari za kusema fulani na fulani ndio tegemeo la timu linashusha morale kwa mwachezaji wengine waonekane kwamba ni unneccesary, na hao wanao onekana ni bora wanalewa sifa kwasababu wanacheza na jukwaa
Kibu kafika karibu na goal lakini kapaisha, sasa hapo utasemaje kuwa sababu ni mikson au chama?