Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Mkude Ajibu ni Damu ya Simba kaka.
Simba bado hatuna kikosi mechi ya 5 asaivi kikosi kitaanza kujulikana tuu.
Simba ni Simba tuu jamani...![emoji23]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
umeona Ajibu alivyoingia zili mbio zisizo na maana zikapungua,mpira ulitulia hamna presha za mi mbio zisizo na maana,Ajibu ajitahidi mazoezini makocha wanakuja wamwone siyo kama leo mpaka mashabiki wapige kelele ndo aingie
 
Kama Morison kapiga Mtu kiwiko na Hakuna Kadi ni maajabu ya maamuzi.
Hivi mmeangalia au mmesimuliwa? Yule ni morrison au Bocco? Na hajampiga kwa kiwiko amemsukuma kwa mikono
 
Hivi mmeangalia au mmesimuliwa? Yule ni morrison au Bocco? Na hajampiga kwa kiwiko amemsukuma kwa mikono
Morison kampiga mtu kweli , refa alikuwa anaangalia kwingine ,hata washika bendera hawajamwoa ,replay ilirudiwa Mara moja tu Ila morison mjanja alichokifanya haikuonekana kwa marefa
 
Morison kampiga mtu kweli , refa alikuwa anaangalia kwingine ,hata washika bendera hawajamwoa ,replay ilirudiwa Mara moja tu Ila morison mjanja alichokifanya haikuonekana kwa marefa
Basi hyo sijaona niliona ile ya Boco
 
Back
Top Bottom