Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

dk huwa ni kawaida kuwa 3-5,na inategemeana na upotezaji wa mda .

Pia hata hivo Namungo walipoteza mda ,Molinga alitoka uwanjani kwa kujivuta,kipa wa Namungo alipoteza mda zaidi ya mara
kama ni 3-5 sasa huyo kinabo alikua analaumu nini?
 
Vipi leo refa amechezesha vizuri sio?
Kuna time aliipendelea sana simba, ila uzuri ni keamba katika hizo nyakati hakuna goli ambalo simba ilipata

Goli limepatikana katika mazingira magumu mno ambayo huwezi kusema limetokana na refa kuipendelea simba, ni tofauti sana na goli la penalty lililopatikana baada ya mayele kushika
 
Dk za nyongeza si kwa ajili ya timu zote kucheza

Dk za nyongeza ni kwa maana ya kufidia muda uliopotea ndani ya dk 90

Dk za leo ni za maruwe ruwe
Mkuu Samahan naomba unisimulie sijaangalia mechi...Dkk Za nyongeza kacheza Simba peke yake?
 
Ushindi mwembamba sana huu sijaridhika kabisa na kiwango cha msimbazi.
 
Goli alilofunga Kagere ni Juhudi Binafsi, Bocco Ajifunze akae Bench hata mechi 10 ameona Kagere alivyojituma bila kuogopa?

Ni mshambuliaji Gani Bongo angeweza kuingiza kichwa katikati ya Watu 3.

Tukisema tunamtaka Kagere Tunamaanisha.
Saizi lawama kwa mugalu zimeisha?
 
Back
Top Bottom