Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Mpaka msimu unaisha hakutakuja kutokea heading kama ya leo, jamaa kafanya jihad ya hatari sana
 
Siyo mbaya. Record ya cleansheet inaendelea. ... lakini safari hii na point 3 juu
 
Kwa mbinde sana. Simba mjitafakari aisee.
Kama ushindi ni wa magumashi namna hii si ajabu mechi ijayo mkaambulia kipigo.

Kama Ile Penalt ya Jana...Yanga Bingwa Mwaka huu[emoji3516][emoji851][emoji1666][emoji41]
 
Boko alikua anashindwaje kufanya vitu kama hivi?

Ama kweli nimeamini kila mtu na utongozaji wake
Mjitafakari, mnacheza na timu iko pungufu kwa dakika 35 bado ulimi nje?

Ngoja ninywe bia za watani hapa maana walikosa amani kabisa.

Yanga hii ndio inayojuwa kutumia gape ya red card, ukweli ndio huo.
 
Ila Simba Sio Vizuri mjue...Mnawapa Matumaini Makubwa Utopolo halafu Mnawanyang'anya tonge Mdomoni.....! Hapa nipo KibandaUmiza Walikuwa Wananitovuga na Vidole vya Macho Na Masingi Wamenipiga.....Sasa Wametawanyika Siwaoni Tena....! Asante MK 14......!
 
Dk za nyongeza si kwa ajili ya timu zote kucheza

Dk za nyongeza ni kwa maana ya kufidia muda uliopotea ndani ya dk 90

Dk za leo ni za maruwe ruwe
 
Goli alilofunga Kagere ni Juhudi Binafsi, Bocco Ajifunze akae Bench hata mechi 10 ameona Kagere alivyojituma bila kuogopa?

Ni mshambuliaji Gani Bongo angeweza kuingiza kichwa katikati ya Watu 3.

Tukisema tunamtaka Kagere Tunamaanisha.
 
Back
Top Bottom