Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Kwa namna Simba inavyocheza ni Bora Mechi zao zichezwe saa 8 mchana pale uwanja wa zamani wa taifa. Nimatumizi mabaya ya nyasi za uwanja na umeme wakati Kiwango Chao ni Cha hovyo. Simba ya Sasa inaitaji refa aji dhalilishe ili Simba ipate matokeo.
 
Mjitafakari, mnacheza na timu iko pungufu kwa dakika 35 bado ulimi nje?

Ngoja ninywe bia za watani hapa maana walikosa amani kabisa.

Yanga hii ndio inayojuwa kutumia gape ya red card, ukweli ndio huo.
Manila Ile rafu yake ilistahili red card
 
Wachezaji wa Namungo hawaamini kama zile hela walizoahidiwa na GSM zimepeperuka

Afu kafungwa Namungo wanaumia watu fulani!!
Ndio ushangae..Ila Makocha wakiwaamini baadhi ya wachezaji Hawa utopolo tunaweza kuwazidi kete Kama tulivyofanya last season
 
Mnaoshangaa kwanini simba inafurahi kupata goal dakika ya 95 ningekua na uwezo natamani niwarudishe nyuma ya muda muone furaha ya abraham aliyokua nayo kipindi hicho baada ya kupata mtoto ishmaely akiwa na miaka 100
 
Wao walitaka ziongezwe ngapi?

Kuna sheria ambayo imeweka kiwango cha kuongeza dakika za nyongeza?
dk huwa ni kawaida kuwa 3-5,na inategemeana na upotezaji wa mda .

Pia hata hivo Namungo walipoteza mda ,Molinga alitoka uwanjani kwa kujivuta,kipa wa Namungo alipoteza mda zaidi ya mara
 
Mechi zetu makolo ziwe mchana saa nane, tunatumia umeme bure tu
 
Tatizo Moja La Yanga Huwa Hawana Hesabu na Point za Ligi. Sahizi Round ya 5 imekamilika Simba kwa Kusua sua Tuna Alama 11 na Yanga wana 15

Ikifika muda simba imetulia kiwanjani na Mbinu zao zinakuwa mpya kwa makocha wengi, Yanga Itakuwa imeshazoeleka [emoji28] Hapo Mkifungwa Game Moja Tu, Tunapumlia nyuma. Gape la Point 4 ni dogo sana
 
Back
Top Bottom