Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Ndo on target [emoji457] ya kwanza au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee link
Muda Si Mrefu Tunapigwa Hata DK Za 90.Dk ya ngap tunapata goli mkuu?
Mbona sisikii mashabiki wakiimba zile nyimbo tulizofundishwa na semaji?Leo ni sikukuu kwa wapenda kandanda nchini Tanzania.
Mnyama Mkubwa mwituni, Simba Sc atashuka katika dimba la Benjamin Mkapa kucheza dhidibya RS Berkane ya Morocco majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
Simba itaingia dimbani huku ikiwakaribisha nyota wake waliotoka majeruhi kama Chris Mugalu, Kibu Denis, Jonas Mkude, Tadeo Lwanga, Bwalya huku ikiwakosa Hassan Dilunga na Chama (ambaye sheria zinambana)
Simba itahitaji ushindi wa hali kwa mali ili kujiwekq katika nafasi nzuri ya kufuzu kwenda robo fainali ya michuano hiyo.
RS Berkane wakiwa ugenini wamekuwa na tabia ya kuruhusu magoli hivyo Simba ikitulia vizuri leo wanaweza wakavuna alama 3 muhimu.
Mechi ni saa 10:00 kupitia Utv ya Azam Tv.
Mijadala, updates na yote kuhusu mechi hii utapata dondoo kupitia uzi huu...karibuni sana
Simba nguvu moja!!
Hawana hamu, wanaomba mpira uishe walau wapate hata draw ila ndohivyo ni lazima unabii utimie, ni lazima wapigwe tu.
Kwa Hiyo Nani Atatufungia Maana Straika Butu Na Umri Umesonga.Hawana hamu, wanaomba mpira uishe walau wapate hata draw ila ndohivyo ni lazima unabii utimie, ni lazima wapigwe tu.