Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Muda Si Mrefu Tunapigwa Hata DK Za 90.
Mtani Timu Yako Haina Mipango
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeona utoto wa kipa wao??
Hivi ulienda kuokoa magodoro ya watani wetu?
Upo Nyumbani Kadri Unavyochelewa Kupata Goal La Mapema Pressure Inakuwa Juu.Hilo chama la wana na tajiriii anaingia tik tok tukifunga
Upo Nyumbani Kadri Unavyochelewa Kupata Goal La Mapema Pressure Inakuwa Juu.
Na Makosa Madogo Madogo Yataongezeka Zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ulienda kuokoa magodoro ya watani wetu?