Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Sisi tulivyocheza kwenye baridi nyuzi 13 hamkuliona?Ndio michakato ya simba wanashinda kwa sababu ya kuzoea/usugu wa mazingira,mpira hawana kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tulivyocheza kwenye baridi nyuzi 13 hamkuliona?Ndio michakato ya simba wanashinda kwa sababu ya kuzoea/usugu wa mazingira,mpira hawana kabisa
La pili linaingia saa ngapi?
Mda hauendi
Kawaliza tena au vyenga?Pape Othman Sako
Sijawahi kuwa na mashaka naeOyaah wazee, Inonga ni beki bwana[emoji23]
Muhimu kwetu ni ushindi tu.