Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Hawa jamaa kwenye set pieces ni wazuri sana na huo ndo udhaifu wa Simba Sc.

Mtakumbuka kule tulipigwa magoli manne ya set pieces, hata kule kwa berkane hivyohivyo.
 
Hawa jamaa mpira umewashinda, mimi ningekuwa refa baada ya hapo naongeza dakika moja tu.
 
Yani hawa waarabu jinsi walivyo mzonga refa nawaona yanga wana nafuu

Oya au mliwaiga hawa nini?
 
Dakika 90 zimekamilika tunasubiri za nyongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…