Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Tujitahidi kuulinda huu ushindi jamani, hizi dakika za lala salama huwa sio nzuri kabisa.
 
Hawa waarabu wamesusa wakatuondoa kwenye ile rythm yetu
 
Sikuliona hili,nilikuwa naona bado anadai, kinachotufelisha sisi ni hapo kati,kanoute hatimizi majukumu yake ipasavyo.
Second balls nyingi wanawin wao.
Alivyotoka timu ikapoteana yeye ndiye alikuwa anachezesha timu hasa juu
 
Back
Top Bottom