Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Hahaha hahaha hahaha mpira umeishaa huyu refa hataki ujinga kabisaaa
Ila lile ni clear goal, kibendera kawauma Rs Berkane,wakati huohuo kawapa goal Simba la offside.....Kagere aliingilia mchezo wakati Sako anapiga.....ila hongereni Kwa kushinda, hata kama ni kimagumashi
 
Msimamo:

143BAB97-D1CB-43C9-9BE2-9BAD9B8575B1.jpeg
 
Huyu Thadeo Lwanga mbona mm naona kama amekuwa kibonge hivi au TV yangu ina shida
 
Nilikuwa naangalia mechi ya Zanaco na Waarabu, nikachungulia kidogo kwa MAKOLO kiukweli Refa ndiye mchezaji bora wa MAKOLO, maana kawanyima wapinzani goli la halali kabisa.

Yani Makolo wamekaa kimchongo mchongo tu[emoji1787][emoji16]
 
Back
Top Bottom