Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Ila lile ni clear goal, kibendera kawauma Rs Berkane,wakati huohuo kawapa goal Simba la offside.....Kagere aliingilia mchezo wakati Sako anapiga.....ila hongereni Kwa kushinda, hata kama ni kimagumashi
Waarabu hawakuwa na madhara yoyote leo, na kwa style yao ya uchezaji wasubiri tu kushinda kule kwenye baridi lao vinginevyo mechi zote za Away wanapoteza. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom