Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba kashinda.
Ilikuwa penalt dhidi ya Simba kama ingalikuwepo VAR na goli la Berkane ni off side.
Kiujumla Simba alistahili saana kushinda ni marekebisho madogo madogo ambayo lazima yarekebishwe ili awe salama.
 
Ana-scoute Vipaji Kwa Wachezaji Wadogo Wadogo Wa Berkane.

Si Unajua Timu Yetu Imejaa Akina Onyango Na Kina Kagere

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu nabi sio leo kuhudhuria mechi za simba hususani za kimataifa

Yani management ya yanga inalipia pesa ya kiingilio ili nabi akachukue some skills kwa wachezaji wa simba maan wamekuwa wachoyo hawataki kuonesha maufundi kwenye ligi kuu si unajua huku wanga wengi

Lakini muarabu mpaka anamlaumu refa kwanini amemruhusu mane acheze kwa jersey ya sakho usifikiri ni swala dogo
 
Kwa Marejeo Ya Picha Aliyefunga Alikuwa Onside.
Huyu nabi sio leo kuhudhuria mechi za simba hususani za kimataifa

Yani management ya yanga inalipia pesa ya kiingilio ili nabi akachukue some skills kwa wachezaji wa simba maan wamekuwa wachoyo hawataki kuonesha maufundi kwenye ligi kuu si unajua huku wanga wengi

Lakini muarabu mpaka anamlaumu refa kwanini amemruhusu mane acheze kwa jersey ya sakho usifikiri ni swala dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba kashinda.
Ilikuwa penalt dhidi ya Simba kama ingalikuwepo VAR na goli la Berkane ni off side.
Kiujumla Simba alistahili saana kushinda ni marekebisho madogo madogo ambayo lazima yarekebishwe ili awe salama.
Dar jua kali afu VAR haipatani na joto labda kama waifunge screen ya aborder
 
Ila lile ni clear goal, kibendera kawauma Rs Berkane,wakati huohuo kawapa goal Simba la offside.....Kagere aliingilia mchezo wakati Sako anapiga.....ila hongereni Kwa kushinda, hata kama ni kimagumashi
Kachezeshe wewe Sasa 😂,

Kama hujui Sheria za Soka kaa kimya tu mkuu
 
Back
Top Bottom