Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Mpira Umebadilika Kila Timu Inatafuta Goal
1647185321339.png
 
Oyaah wazee, Inonga ni beki bwana[emoji23]
Kuna jamaa mmoja ni mnafki sana anajidai yeye kaji isolate na ushabiki lakini since alivyomkandia henonga na kusema simba wakija kugundua kua huu usajiri waliingia mkenge watakuwa wameaha chelewa nikajua mchizi ni bonge la chawa Bila bila
 
Sasa unategemea nianze kubishana humu Jf na fukara kama wewe?

Wewe kinachokubeba hapa ni hii fake ID vinginevyo uraiani nakununua kabisa na kukuzika ambako hata ndugu zako hawawezi kukupata.
you preening arsehole, and I am reacting accordingly: mentally condemning you to the trash-pile forever more.
 
Lakini jamaa aliyabashiri haya yote, alikuwa akiwaambia waarabu kua simba ya kule morroco ni tofauti na hii kwa mkapa wakambishia

Sasa wamekuwa mashuhuda upako ukawashukia wakaanza kunena kwa lugha refa kawachezeshea na kadi
Lazima wakasimulie
 
Mapaka shume yalikaa kitako kabisa yakiamini simba anapoteza mechi
 
Back
Top Bottom