Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

48' Asec 2- 1 Gent
Waache wajilimbwase ila watambue tu wakifika hapa kwa mkapa lazima wafe

1647192041593.png
 
Yanga ana point 1 kwenye kundi lake, sawa na somalia nae ana point moja
 
Simba bado sana. Goli moja tena la kuotea nao ni ushindi?
Nafikiri hata wewe uliona jinsi ambavyo mwarabu alipoteana kipindi chote cha mchezo, lingekuwa goli la bahati kama walau tungeonyesha kuzidiwa na hao waarabu wenu.
 
Hii Timu Kama Gari La Mkaa likifanya Safari Ya Kazi Inayofata Fahamu Ni Garage Tena Hali Mbaya.
Mwana Utopolo mwenzagu haya ya kimataifa tuwaachie wenyewe, sisi tukazane kutetema kama mabumunda huenda siku moja tutafika huku.

Leo wamepiga mpira mzuri sana, naamini kocha wetu kajifunza kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom