Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Vibe la mitaa baada ya ushindi
 
Nadhani msimu Ujao Simba itafute kocha mwenye kujua soka la Africa na ambae amefundisha timu za Africa na kucheza michuano ya kimataifa.

Msimbazi kuna kikoso kizuri except pia hawana STRIKER ILE YA KIBISHI, KAGERE NI TRASH.

Huyu kocha anakosa Psychological tactic Tags za michezo ya Africa.

Ni suala la muda atakuja kuwaliza wanasimba.

I am doubting hata kama anasikiliza huyu kocha . Ni TAKATAKA
Michezo ya kiafrica ikoje? Kocha wako Nabi kaifikisha wapi utopolo?
 
Lwanga ni kuni za kuivishia gongo waarabu wamemkoma
 
Waarabu wakataka kusususia mechi

Refa akawafata akawaambia Enhee mnataka kususa kwasababu gani BERAKNE "ooh unawapendelea hauchezeshi kwa fair"

Refa "Nyie ebu skilizeni As Vita alikufa hapa hapa kwa mkapa goli 2"

Berkane wakashangaa huh!

Akasema "sio hao tu, Al Ahly nao walishakufa hapa hapa kwa mkapa"

Wakaguna mmmh! Oya mazee ebu tuingie tu kumbe tukifungwa haiwezi kuwa aibu maana kama hao vigogo walipotea sisi akina nani
 
Waarabu wakataka kusususia mechi

Refa akawafata akawaambia As Vita alikufa hapa hapa kwa mkapa

Berkane wakashangaa

Akasema sio hao tu, Al Ahly nao walishakufa hapa

Wakaguna mmmh! Oya mazee ebu tuingie tu kumbe tukifungwa haiwezi kuwa aibu maana kama hao vigogo walipotea sisk akina nani
hahahaha kuna kchambuz u tv eti ya manula na mshambuliaj ni clear penat
 
Mayele mayele

Mmesajili wakimbizi wamekuja kujifcha afu mnapiga kelele mtaani
 
Back
Top Bottom