Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Kocha wa Simba anazubaa sana, kichwa chake hakifikirii kuendana na kasi ya mchezo
Yaani hata mi nashangaa sana kwanini anazubaa namna hii huyu Kagere anafanya nini humu muda wote
 
Back
Top Bottom