Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Huyu kocha nae mipango hana, unatoaje bwalya, mzamiru anaenda kutafuta nini humu, tayari una kanoute pass accuracy yake mbovu kisha unatia mzamiru ambae nae ni yale yale.. [emoji2959]
Hii game tuombe dua tu, ishakuwa ngumu.
 
Bwalya amechoka sana
 
Mm naona Bwalya ndio alikuwa anachezesha timu anyway kocha ndio anayejua zaid
 
Washazidiwa kwann wasiende kwenye maswimbwi wakapigane huko hawa
 
Back
Top Bottom