Kocha kakosa nini, key players wote wapoHuyo kocha ajieleze kwanini asifukuzwe?.
Labda na njaaHilo gemu simba lazima ashinde
Kweli???πππHilo gemu simba lazima ashinde
We huijui simbaLabda na njaa
Vipi droo tayari?Mechi droo hii wazee tunaujua mpira
Hawa wachezaji wa-senge sana kata wote mshahara wa mwezi kmmmk
Wanabembeleza hapa bado dk 3 za nyongezaVipi droo tayari?
Narudia tena dkk ya 91 alaaaaniwe aliyemleta Mugalu ndani ya Simba SCMbona mapemaa?
Yeah bet kabisaKweli???πππ
Na leo siendi kukojoa ng'oooo naibana hadi ipasukeπ π πKibanda umiza hapa naona wenzangu wanasepa mmoja mmoja tartiiibu,kama wapo vile kumbe ndo wanasepa.