Simba SC 1-1 Tanzania Prisons | Mkapa Stadium | VPL

Simba SC 1-1 Tanzania Prisons | Mkapa Stadium | VPL

All in all, wachezaji walipambana.
Kwangu mm mechi ya Jana ingrkuwa nyepesi kama kungekuwa na mtaalamu wa kuunga juuu kwa juuu pasi za juu. Kwa Simba ni Ajibu tuuuu.
 
Kipindi cha kwanza simba hatukupambana ipasavyo.walidhani hatimaye goli litakuja tu. Goli halikuja badala yake goli likatua kwa simba. Simba ikaamua kupambana goli likapatikana. Kama simba tungepambana toka kipindi cha kwanza lazima tungewafunga.
 
Back
Top Bottom