Simba SC 1-1 Tanzania Prisons | Mkapa Stadium | VPL

Simba SC 1-1 Tanzania Prisons | Mkapa Stadium | VPL

Prison wana mpira flani wa kishamba matumizi ya nguvu bila akili, una hatarisha maisha ya mchezaji mwenzako.
Kuna matukio mawili wenzetu duniani wanafunika tuta
1. Kumzuia Kapombe lile ni tuta
2. Kumsukuma Luis lile ni tuta pia.
Kuna faulo moja alifanyiwa Kapombe alibanwa mkono mpaka anaanguka, lile wenzetu ni tuta pia.
Sasa team inayotengeneza zaidi ya penalt 5 mchezo mmoja, huo ni mpira wa kishamba, haupo duniani pote.
 
Binafsi nilichojifunza kwenye mechi ya Simba vs Prisons ni kwamba, katika ligi ya bongo, kuna timu tatu za JKT Tanzania, Polisi Tanzania na Prisons zinazotumia nguvu nyingi bila akili. Ova
Kama timu inaweza dk 50 wakiwa pungufu afu hawafungwi, hiyo ni timu nzuri, walioshindwa kufunga ndio wahojiwe utimamu wao.
 
Prison wana mpira flani wa kishamba matumizi ya nguvu bila akili, una hatarisha maisha ya mchezaji mwenzako.
Kuna matukio mawili wenzetu duniani wanafunika tuta
1. Kumzuia kapombe lile ni tuta
2.Kumsukuma Luis lile ni tuta pia.
Kuna faulo moja alifanyiwa kapombe aalibanwa mkono mpaka anaanguka, lile wenzetu ni tuta pia.
Asa team inayotengeneza zaidi ya penalt 5 mchezo mmoja, huo ni mpira wa kishamba haupo duniani pote.
Una ujuzi wa urefa?
Kama vipi kaombe kibarua uwe unafunika tu matuta
 
Uto techno zenu zimepona dhahama ya Msolla "Hacked.
Penalti na red card zikabuma,line 2 akawapa goli la offside dk ya mwishini, rose mhando fc
 

Attachments

  • Screenshot_20210310-211139_Instagram.jpg
    Screenshot_20210310-211139_Instagram.jpg
    49.6 KB · Views: 3
simba inapata matokeo ndio maana watu hawaoni upumbavu wa mugalu ila huyu si mchezaji, hafai kuchezea simba
Kama huwa unaangalia mpira kusubiri magoli, huwezi mpenda Mugallu.
Ila ndo striker mwenye footwork nzuri bongo hii.
 
What is Footwork. Anasajiriwa mshambuliaji kwaajiri ya Footwork au kufunga magoli ?
Namwona Mugalu kama ni mviziaji tu sioni kingine.
Ni mzito kama Yikpe.
 
Back
Top Bottom