Simba SC 1-1 Tanzania Prisons | Mkapa Stadium | VPL

Simba SC 1-1 Tanzania Prisons | Mkapa Stadium | VPL

Prison kweli wako vizuri leo wamecheza muda mwingi bila mabeki wao wa kati, Chona na Jumanne Elfadhili lakini bado walikua bora katika kuwadhibiti Simba.
 
Prison walikuwa pungufu lakini bado simba hafurukuti loooh!, vijana wako imara toka sumbawanga
 
Back
Top Bottom